Ni za kustaajabisha, sumbufu, kusisimua, cheshi au za kuhuzunisha. Hekaya huwavutia watu wa marika yote. Hadithi kumi zilizochaguliwa sio tu za kuburudisha, lakini pia zina maadili muhimu, ufahamu na ...