Kwa namna alivyoonekana tu Ruby Graupera Cassimiro alikua amepoteza maisha. Moyo wake uliacha kupiga kwa dakika 45, madaktari waliokuwa wakimfanyia upasuaji kumzalisha mtoto, waliwakusanya wanafamilia ...