Baada ya miaka 56, Shirikisho la Kandanda Ulaya - UEFA limetangaza kufuta sheria ya bao la ugenini kuanzia msimu ujao. UEFA inasema sheria hiyo imepitwa na wakati na imeamua kuifuta kama njia muhimu ...