Nchi 34 zimejihakikishia kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazounguruma nchini Mexico, Marekani na Canada, baada ya kukamilisha mchakato wa kufuzu.
Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Soka Wanawake (WPL) itaendelea tena leo Novemba 19, 2025 zikipigwa mechi tatu baada ya raundi ya ...
KATIKA kila safari ya mafanikio ya mtu yeyote nyuma yake kuna majuto na changamoto nyingi anazopitia hadi kufika nchi ya ...
JANGA la Uviko-19 liliyafanya mambo mengi katika maisha ya binadamu kusimama. Miongoni mwa hayo mapambano mengi ya ngumi ...
Ikumbukwe, klabu hiyo kutoka Libya iliifuata Azam mara mbili, ikimtaka mchezaji huyo lakini msimu uliopita wakati Waarabu hao ...
Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema jana Jumanne Camara alitarajia kufanyiwa upasuaji nchini Morocco na beki wa kati ...
WINGA wa Geita Gold, Yusuph Mhilu amesema anaamini msimu huu ni wa kufa ama kupona kwa timu hiyo katika safari yao ya kurejea ...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika hafla ya utoaji Tuzo za CAF 2025, ...
WAKATI Waingereza wana Elton John, Tanzania yupo Salmin Ismail Hoza maarufu kama Kusah. Hawa wote ni wasanii na watunzi wa ...
NAHODHA wa Arsenal, Martin Odegaard amesema ameanza kupona majeraha yake hivyo matumaini yake ni makubwa atakuwapo kwenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results