Wadau zaidi ya 500 wa sekta ya utalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wanatarajiwa kushiriki katika Tuzo za 32 za Kimataifa za Utalii kwa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, zitakazofanyika nchini ...
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema ushindi wa Tanzania kwenye tuzo za World Travele Award 2025 ikiwemo tuzo kubwa ya Utalii wa safari bora duniani ni uthibitisho kuwa nchi ina vivutio vya utalii ...